News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday, 6 September 2017

PELE: NEYMAR AMECHUKUA UAMUZI MZURI SANA KWAKUA ........



Mchawi wa soka duniani, Pele amepongeza uamuzi wa Neymar kutimka Barcelona na kuhamia Paris Saint-Germain. Pele, 76, amesema nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 alistahili kuondoka Barcelona ili kujitoa kwenye kivuli cha Lionel Messi. "Kwa sasa Neymar ndiye mchezaji bora zaidi Brazil na nadhani kuondoka kwake Barcelona ni sahihi kwa vile pale alikuwa na ushindani mkubwa na Lionel Messi," anaeleza Pele. "Ilikuwa ni jambo jema kwake kuondoka kwenda sehemu atakayokuwa huru kuonyesha uwezo wake alionao," aliongeza Pele katika mazungumzo yake na gazeti la Marca la Brazi

credit salute 5

* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA* Millionaire  Ads
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment