News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday, 5 September 2017

PICHA NYINGI: UJERUMANI YAIFANYIA MAUWAJI NORWAY!! YAICHANACHANA "6G"ARSENAL MAN OZIL AKIFUNGA GOLI KALI



Ujerumani imeshinda kwa mabao 6-0 dhidi ua Norway lakini bado haijajihakikishia kufuzu Kombe la Dunia.

Mesut Ozil alifunga bao moja huku akiwa kiungo muhimu kwa kuwa alikuwa katika kiwango bora.

Ushindi wa Ireland Kaskazini wa mabao 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech unaifanya Ujerumani isiwe na uhakika wa asilimia mia.



Wengine waliofunga mabao katika mechi hiyo ya Kundi C baada ya Ozil kufunga la kwanza ni Julian Draxler, Timo Werner aliyefunga mawili, Leon Goretzka na mkongwe Mario Gomez aliyepigilia msumari wa mwisho.





 *USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA* Millionaire  Ads
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment