News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday, 27 September 2017

Schwarzenegger: Messi ni Terminator wa soka



 Gwiji wa filamu ulimwenguni Arnold Schwarzenegger amesema mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi ni Terminator wa mchezo wa soka. 
Nyota huyo wa Hollywood alikuwa mjini San Sebastian jana akizundua dokumentari yake ya Wonders of the Sea 3D, ambaye ameiprodyuzi na kuielezea.
Katika mazungumzo yake gavana huyo wa zamani wa California pia aliuzuria tukio la multi-sport Arnold Classic Europe, ambako alijadili kuhusu Messi.
"Nimekuwa nikifuatilia Barcelona kwa karibu," Schwarzenegger aliimbia Mundo Deportivo. "Nilitembelea mazoezi yao mwaka jana na kufuatili wanacheza vizuri.
"Wakati unapokulia katika soka, kila wakati jambo hilo linabaki kichwani mwako. Messi ni mchezaji wa kipekee. Nafikiri unaweza kusema Messi ni Terminator wa soka."

* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA* Millionaire  Ads
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment