News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday, 27 September 2017

EDISON CAVAN: NANI HUYU UNAJIHISI WE NI MESSI?


Kumbe mambo yalianza zamani! Inaripotiwa kuwa Edinson Cavani alimuuliza Neymar kama anadhani yeye ni Lionel Messi wakati nyota huyo wa Brazil alipongia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya PSG kwa mara ya kwanza. 

Kwa mujibu wa gazeti la El Pais la Hispania, Cavani alimuuliza Neymar kwa kusema: "Ni nani huyu? Unadhani wewe ni Lionel Messi?

Bila kujali iwapo Cavani alikuwa anakejeli au anafanya mzaha, ni wazi kuwa Neymar ambaye aliondoka Barcelona kukimbia kivuli cha Messi, hakuipokea vizuri kauli hiyo.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA Millionaire  Ads
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment