Unaweza kusema kweli hela haichezi mpira japo hela ndio kila kitu kwenye soka la sasa kilichotokea usiku wa kuamkia leo kinajidhihirisha hivyo Kikosi cha Ufaransa kilicho sheheni Mastaa Wengi ambacho kinakariwa kua na thamani ya £406,000,000 kilishindwa kufua dafu kwa vijana wa nchi ya Luxembourg Ambapo kikosi cha killikua na Thamani ya£27,720 tu ambapo mpaka mwisho ya mchezo matokeo yalikwenda sare ya 0-0 Ufaransa itajilaumu yenyewe kwa kutokua makini na nafasi za wazi kabisa walizozipata Alexandre Lacazette pamoja na Griezmann
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*

0 comments :
Post a Comment