Baada ya blog hii kongwe na bora ya michezo Tanzania kuandika kuhusu Emanuel Petit kulalamika wachezaji ArsenaL WANADEKA NA HAWAPAMBANI na hawaitendei haki jezi ya Arsenal matokeo yake nTimu inafanya vibaya lawama zote watoto wa mjini wanaita jumba bovu Anaangushiwa WENGE, baada ya kuweka habari hio hapa na kusomwa na wasomaji wetu Dunia nzima mchezaji Ozil akashindwa kuvumilia akaamua ajibu dongo hilo kwa kusema
“Binafsi nimekuwa nikikubali kukosolewa lakini baadhi ya mitazamo hasi imekuwa ikitolewa kwangu kwa watu ambao hawanifahamu, ushauri wangu kwa mastaa wa zamani wa Arsenal waachekutusema na waanze kutusapoti
Sasa baada tu ya majibu hayo Star mwingine mwenye uchungu na Club ya Arsenal Ian Wright hakulala na Deni Aliamua kunjibu
"kua kama kweli una moyo huo na ikizingatiwa mafanikio ya Arsenal yanakutegemea kwa kiasi kikubwa mbona hujasain mkataba kama kweli una uchungu na mafanikio wewe na huyo mwenzako Sanchez ? watu hawawezi kuacha kuongea juu yenu sababu hata swala la mikataba yenu linayumbisha club"
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*

0 comments :
Post a Comment