Chelsea watabidi wajilaumu wenyewe kwa uzembe wa kocha wao alioufanya mpaka kumkosa mchezaji ambae walikua wakimuhitaji sana kwenye kikosi chao Tukio hilo la kushangaza na kustaajabisha lilitokea siku ya mwisho ya usajili kutokana Ross Barkley kukataa kuongeza mkataba Hatimaye Everton walikubali kuuza kwenda Chelsea kwa ada ya uhamisho ya £35million na alishafika mpaka eneo la kufanya vipimo vya Afya kilichotokea kabla hajasain mchezaji akataka ampigie kocha Antonio Conte ili apate uhakika wake ni vipi atamtumia cha kushangaza Conte akazima simu kilichotokea mchezaji huyo aliamua kuondoka na kughairi swala la usajili na kuamua kubaki Everton, Mchezaji wa zamani wa Man city, Barton Amesema Barkley alitaka afahamu kocha huyo atakavyompanga na atakavyomtumia kwenye kikosi chake
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*

0 comments :
Post a Comment