1. Sanchez kabaki Arsenal.
2. Lemar kabaki Monaco.
3. Coutinho kwa sasa bado ni mchezaji wa Liverpool.
4. Imedaiwa Drinkwater anakaribia kutua Chelsea.
5. Tim Krul kaikacha Newcastle katua Brighton kwa mkopo.
6. Virgil Van Djik kabaki Southampton.
7.Everton wamefunga usajili na Nikola Vlasic toka Hajduk Split.
8. Ross Barkely kaikataa Chelsea kabaki Everton.
9. Arsenal imezitosa paun mil 20 za Leicester kwa Calum Chambers.
10. Leicester yazikataa paun mil 25 za Bournemouth kwa Demaray Gray.
11. Sunderland imemtoa kwa Mkopo Papy Djilobodji kwenda Dijon ya Ufaransa.
12. Leicester wamemnasa Aleksandr Dragovic kwa Mkopo.
13. Imbula kaikacha Stoke na kutua Toulouse ya Ufaransa mkopo.
14. Joel Campbell kaikacha Arsenal na kutua Real Betis kwa mkopo.
15. Man City yamkosa Jonny Evans, kabaki West Bromwich Albion.
16. Mangala kabaki man City.
17. Nani katoka Valência katua Lazio.
18. Imedaiwa Adrien Silva alikua akikamlisha vipimo Leicester.
19. Mustafi kabaki Arsenal.
20. Swansea imemsajili Wilfred Bony.
Ikumbukwe
Kwa Hispânia dirisha linafungwa kesho sa Sita Usiku.
Lakin pia sajili ambazo zinakua zinakamilishwa hazitegemei kufungwa kwa dirisha, mfano
-Drinkwater anaweza kukamilisha usajili wa kutua Chelsea saa chache zijazo.
-Adrien Silva anaweza kukamilisha usajili wa kujiunga na Leicester
-mamadou sakho pia wanaweza kutua Crystal Palace.

0 comments :
Post a Comment