News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 7 September 2017

BREAKING NEWS MH TUNDU LISSU AMEPIGWA RISASI 5 NA WATU WASIO FAHAMIKA

Habari zilizotufikia ni kua Mbunge wa Singida  mashariki  Mh Tundu lissu amepigwa risasi 5 mwilini  na watu wasiofamika Nyumbani kwake dodoma  kadri tutakavyopata habari tutazidi kuwadokeza 



* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA* Millionaire  Ads
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment