PICHA AMBAYO INATUMIKA SANA LEO KWENYE SOKA GROUPE FB NA INSTA
PICHA AMBAYO MASHABIKI WA YANGA WANAITUMIA KUWATANIA SIMBA |
siku moja tu baada ya jezi rasmi ya simba kutambulishwa watani wao Yanga wameibuka na picha ambayo leo hii ndio imekua habari ya mjini wakiifananisha jezi ya simba na aina flani ya madela ambayo kiukweli kuna kidoa flani kwenye maeneo ya shingo vinataka kushabihiana japo si sana lakini ndio hivyo jambo kalipata mtani mbona mashabiki wa simba shughuli mnayooo??? ukivaa jezi unaenda kwenye shughuli?? daaah? utani huuu si utani wa jadi bali huu ni utani wa ngumiiiiiiii
Najua SIMBA watakuja na Jibu takatifu ngoja tusubiri muda utatujibu!!
0 comments :
Post a Comment