News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday, 4 August 2017

GADIEL MICHAEL KUKIPIGA YANGA MSIMU UJAO

Tokeo la picha la Gadiel Michael Mbaga
Klabu ya Yanga mara baada ya Kuandikiwa Barua ya Majibu kutoka Azam kuhusu Nini HasaAzam Wanataka Kuhusu Kumruhusu Gadiel Michael Mbaga ambaye amekuwa Gumzo Mtandaoni Imetoa Majibu ya Kutia Faraja kwa wapenzi wake.

Hussein Nyika mwenyekiti wa Kamati ya Usajili klabu ya Yanga ndugu msomaji wa Kwata Unit Blog amesema Suala linaelekea Pazuri na Hakuna Litakaloshindikana. " Ujue Mambo kama yamefikia kwenye hatua ya Ofisi kwa Ofisi kuzungumza ujue hakuna kitakachoshindikana, Mambo yanaendelea Vizuri " Alisema Nyika kwa Kujiamini.


Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment