News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday, 2 August 2017

RAMOS AFICHUA SIRI JINSI JUZI NEYMAR ALIVYOENDA KUMUAGA



STAA wa Real Madrid, Sergio Ramos ni kama amemkimbiza mwenzake wa Barcelona, Neymar baada ya kukiri akisema kuwa baada ya mechi yao ya mwishoni mwa wiki iliyopita ya Clasico alibadilishana naye jezi na kisha  akamweleza kuwa hataki kukutana naye tena akiwa kwenye uzi wa Barca. Kwa sasa hatima ya Neymar kubaki Barca bado ni kitendawili, baada ya timu ya Paris Saint-Germains kuendelea kumfukuzia na huku ikimtangazia dau nono.
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment