Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia akimkabidhi Ngao ya Jamii Nahodha wa Simba, Method Mwanjali |
Kipa wa Simba, Aishi Manula akiokoa dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma |
Papy Kabamba Tshishimbi wa Yanga akimuacha chini Shiza Kichuya wa Simba |
Kipa wa Yanga, Youthe Rostand akidaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, huku beki wake, Gardiel Michael akiwa tayari kusaidia |
Winga wa Yanga, Emmanuel Martin akiutelezea mpira miguuni mwa kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima |
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
0 comments :
Post a Comment