Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos amepigwa kadi nyekundu katika mechi ya kwanza tu ya La Liga timu yake ikiivaa Derpotivo la Coruna, ugenini.
Ramos alipigwa kadi mbili za njano na kuzaa nyekundu wakati Madrid ikishinda kwa mabao 3-0 ugenini.
Mabao ya Madrid ambayo ilicheza bila ya Cristiano Ronaldo katika mechi hiyo yalifungwa na Gareth Bale, Casemiro na Toni Kroos.
0 comments :
Post a Comment