News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday, 7 August 2017

MANJI AGONGA MWAMBA TENA MAHAKAMA KUU, AREJESHWA RUMANDE

Mahakama Kuu Tanzania imekubali pingamizi lililowekwa na serikali na hivyo kutupilia mbali maombi ya dhamana ya mfanyabiashara Yusuf Manji.
Manji aliwasilisha mahakamani hapo maombi ya kupewa dhamana lakini imeshindikana na sasa amerejeshwa rumande
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment