News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday, 7 August 2017

HIKI NDICHO KILICHOTOKEA MAHAKAMANI KWENYE KESI YA AVEVA, KABURU

Mahakama imeahirisha kesi ya utakatishaji fedha inayowakabili Rais wa Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ hadi Agosti 16 sababu uchunguzi haujakamilika.
Wahusika hao walifikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu leo kwa ajili ya kusomewa kesi hiyo inayowakabili, hivyo wamerejeshwa rumande.
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment