News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 31 August 2017

LIVE BILA CHENGA: LWANDAMINA HUYU HAPA, AELEZA KWA NINI ANAONDOKA LEO KUREJEA KWAO ZAMBIA

Hatimaye kilichomuondoa Kocha wa Yanga, George Lwandamina na kurejea kwao Zambia kimejulikana.

Lwandamina ameondoka leo kurejea kwao Zambia na awali ilielezwa ni matatizo ya kifamilia, lakini yeye mwenye ameiambia SALEHJEMBE kwamba amepata msiba mkubwa.

"Nimepata msiba mkubwa, nimempoteza baba yangu mzazi siku chache zilizopita. Sasa narejea nyumbani kwa ajili ya mazishi," alisema
Kocha huyo mtaratibu amesema atarejea na kujiunga na kikosi chake mara tu atakapomaliza suala hilo la mazishi ya mzazi wake.

BLOG YA SALEHJEMBE, INATOA POLE KWA KOCHA LWANDAMINA NA KUMUOMBEA AWE NA NGUVU NA KULIMALIZA SUALA HILO KATIKA WAKATI HUU MGUMU.

* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment