News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 31 August 2017

BREAKING NEWS: LWANDAMINA AREJEA KWAO ZAMBIA, NSAJIGWA AKABIDHIWA MAJUKUMU


Kocha wa Yanga, George Lwandamina ameondoka kurejea kwao Zambia.
Taarifa za ndani kutoka Yanga zinaeleza, Lwandamina amepata matatizo ya kifamilia.
“Kweli kocha ameondoka leo kwenda kwao Zambia kutokana na matatizo ya kufamilia,” kilieleza chanzo.

Pamoja na baadhi kuhusisha safari ya Lwandamina na masuala ya kifedha au mkataba, mhusika amesisitiza ni matatizo ya kifamilia na Shadrack Nsajigwa amekabidhiwa majukumu ya kuendelea na Yanga.
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment