News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday 24 August 2017

KIKUKU ÇHA TSHISHIMBI CHAZUA MANENO UWANJA WA TAIFA



Kiungo mpya wa Yanga, Pappy Tshishimbi amezua minong’ono kwa mashabiki wa soka kutokana na kufunga cheni ‘kikuku’ katika mguu wake wa kushoto.
Tshishimbi aliwaduwaza mashabiki wakati aliposhikuka kwenye basi la Yanga akiwa na wachezaji wenzake na kuingia uwanjani tayari kuivaa Simba.
Kiungo huyo aliewafunika kabisa viungo wa simba jana kwa kuonyesha kiwango murua kabisa aliwasahulisha mashabiki wa yanga uchungu wa kuondokewa na mchezaji wao Niyonzima huku baadhi ya mashabiki wa timu zote uwanjani jana wakikiri kua Tshishimbi anajua mpira na Yanga hawajatupa hela kwenye usajili wake

* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment