News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday 24 August 2017

SOMA HAPA HABARI ZOTE KUBWA ZA MICHEZO DUNIANI KWA KISWAHILI TUMEKUWEKEA PAMOJA :BONGO ULAYA AMERICA PAMOJA NA USAJILI

Michezoni Hii Leo
1. Simba yatwaa Ngao ya Jamii 2017/18
-Okwi asema haikuwa rahisi.
-Tshishimbi ang'ara.

2. Mabadiliko yaja
-imepotishwa Kuanzia msim ujao ligi kuu bara itakuwa na timu 20.

3. Yamemfika
-Kiungo wa Zamani wa mbao Pius Buswita afungiwa mwaka mzma. Kilichomponza chadokezwa kusain mikataba miwili.

4. Mayweather, Mc Gregor kuzichapa jumapili alfajir.

5. Bado siku 8 dirisha la Usajili barani Ulaya lifungwe.

6. Liverpool, APOEL, CSKA, Sporting nazo yafuzu hatua ya makundi UEFA.

-Makundi hayo yatapangwa hii Leo.

7. Hatimaye Rooney astaafu kuitumikia timu ya taifa UĂ­ngereza.

-kitakwimu ndiye mfungaji bora wa mda wote akicheza mechi 119 na kushinda 53.

8. Ratiba ya hatua ya tatu ya kombe la ligi Uingereza Hadharani.

Leicester City na Liverpool
West Bromwich na Man city
Doncaster Rovers na Arsenal
Chelsea na Nottingham Forest
Manchester United na Brighton
Tottenham na Barnsley/Derby County.

9. Rufaa ya Sergio Ramos yatupwa. Ni ile aliyepingwa kadi nyekundu Madrid dhidi ya Deportivo.

-atakosa mechi moja.

10. Kibano.
-mshambuliaji wa Atletico Antoine Griezmann nae kafungiwa mechi 2.

-kilichomponza ni kadi nyekundu Atlético ilipoivaa Girona kwenye la Liga.

11. Kwenye usajili
-Spurs yamnasa kipa wa Southampton, anaitwa Paulo Gazzaniga.

-Spurs pia imemuongezea mkataba Kyle Walker-Peters mpk 2020.

-Kiungo Sam Clucas wa Hull katua Swansea City.

-beki Kingsley wa Swansea katua Hull City.

-imedokezwa Chelseaimeongeza ofa yake kwa Drinkwater.

-mlinda lango Pepe Reina ahusishwa na PSG.

-Claudio Marchisio aikana ligi kuu Uingereza asema anabaki zake Juventus.

-Middlesbrough yaitosa Leeds kwa Rudy Gestede.

-imedaiwa PSG inapanga kuifanyia umafia Barcelona ikidaiwa pia inamhitaji Seri wa Nice ya Ufaransa.

-unaambiwa Liverpool ishajiaandaa kuitosa ofa ya nne ya Barcelona kwa Philipe Coutinho.

-Man City ingali inahusishwa na Jonny Evans.

-Ox wa Arsenal bado anahusishwa na Chelsea

-Sakho wa Liverpool bado anahusishwa na Crystal Palace.

-Inter Milan yakaribia kumnasa Mangala wa Man City.

12. Vijineno na Povu

-Paul Pogba asema Manchester United hawapaswi kuihofia timu yoyote msim huu.

-Aliyepata kuwa naodha na bosi wa Liverpool, Graeme Souness ameishangaa klab hiyo kumng'ang'ania Coutinho akisema hakuna ubaya kama wangepokea mshiko akidai Coutinho mwenyewe msimu mzima goli 6,7....Souness kasisitiza kwake nyota tishio zaidi ni Sadio Mane...

-Unaambiwa Neymar nae sasa anajipanga kuishtaki Barcelona.* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment