News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 10 August 2017

HUYU NDIE USAJILI MPYA WA ARSENAL UNAOFUATA -WENGER


KOCHA Arsene Wenger anatazama uwezekano wa kumsajili kiungo wa Nice, Jean Michael Seri ambaye aliweka wazi kutaka changamoto mpya. Habari zinadai kuwa washika mitutu hao wamejipanga kuchuana na Tottenham kuipata saini ya Seri. Spurs nao pia wanahitaji saini ya kiungo huyo baada ya kuingiwa na hofu ya kuondokewa nyota wao Delle Alli.
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment