Hapa Ibrahimu Ajib akipiga Picha na Mboni mama yake Monalisa siku ya Simba Day Nje ya uwanja.
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, ameandika hiviiii!!
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, ameandika hiviiii!!
“Najua nini unamiss dogo ila kafanye kazi hapa ni home,anytime!!umeondoka bila maneno ya hovyo,umetuheshimu na sisi tutakupa heshima yako na kuhakikishia hutasumbuliwa na fan yoyote wa Simba,,ustaarabu upo nyoyoni mwetu @ibrahimajibu23“ alimaliza Manara





0 comments :
Post a Comment