Mchezaji Alex Sanchez ameanza mazoezi kwenye timu yake ya Arsenal na akiwa na furaha tofauti kabisa ilivyokua inadhaniwa na kusemwa kwenye vyombo vingi vya habari hii inaama kua inakwenda kuvunja na kumaliza uvumi kua Sanchez anakwenda kulazimisha kuondoka Arsenal na kutimkia PSG ama Man City kwa hatua hii ina maana safu ya ushambuliaji ya Arsenal itakua na watu wakali wa kuotea mbali tupu hii inaleta picha kwamba ligi ijayo itakua ni ya kukata na shoka kwa kua kila timu zimefanya usajili wa kufa mtu hata zile timu zinazoonekana ndogo zimefanya usajili wa kufa mtu kimya kimya huku magazeti na vyombo vingi vya habari wakiangazia Timu kubwa pekee
0 comments :
Post a Comment