
Yanga leo itashuka uwanja wa Gamboni kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Jamuhuri fc. Mchezo utaanza saa 10:00 jioni.Mpaka sasa bado hazijatolewa taarifa kama mechi hii itarushwa moja kwa moja na kituo chochote cha runinga tunafuatilia hilo tutakapopata taarifa tutawajuza wapenzi wasomaji wetu wa Mwanasports leo blog
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
0 comments :
Post a Comment