News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday, 21 August 2017

HUU NDIO MUDA MPYA WA KUANZA MPIRA WA SIMBA VS YANGA ULIOTOLEWA LEO HII SIO SAA 10 JIONI USOME HAPA...

Tokeo la picha la SIMBA NA YANGA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema mechi ya watani Yanga na Simba, itaanza saa 11 jioni.

Awali mechi hiyo ya Ngao ya Jamii, ilipangwa kuanza saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, keshokutwa Jumatano.


Lakini Msemaji wa TFF, Alfred Lucas ametangaza mabadiliko hayo ya ratiba ya mchezo huo kusogezwa kwa saa moja zaidi.
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment