Washambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa (kulia) na Mzimbabwe, Donald Ngoma (kushoto) wakionyesha miili yao ilivyojengeka kimazoezi baada ya kujifua kwenye gym kisiwani Pemba leo, ambako timu yao imeweka kambi kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu, Simba Jumatano Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
0 comments :
Post a Comment