Manara azungumzia kejeli za Madera ya Simba; "Huu ndiyo utani ambao tunauhitaji wala hautusumbui ila tunataka kuwaambia hao watani zetu Yanga kwamba Agosti 23 tutawafunga na madera yetu hayo hayo, hatuchukii kama anavyochukia mtu wao Salum Mkemi ambaye mapovu yanamtoka baada ya mimi kufanya utani siku ya kukabidhiwa vifaa."


0 comments :
Post a Comment