News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday 25 August 2017

HARUNA NIYONZIMA AUA PASTOR BILA KUKUSUDIA KILOMBERO


mechi ya derby jana kati ya Simba SC na Yanga SC wakati wa mikwaju ya penati alipoenda kupiga Haruna Niyonzima, Shabiki wa yanga akamwambia shabiki huyu wa simba ;

"huyu hapati hii penati ametokea kwetu Yanga"

 Pastory  akamjibu " anapata usibishe"

Niyonzima akazamisha nyavuni ule mkwaju wa penati kwa pigo zuri tu. Pastory wa simba ile furaha akapata mshituko akapoteza fahamu na kukimbizwa hospitali lakini hakuweza kuamka tena. Kutokana na ile furaha ndio ikawa mwisho wa uhai wake Rest in Peace Pastory Kigia (43yrs) Morogoro(Kilombero).



* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment