News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday, 29 August 2017

chamberlain mguu mmoja Chelsea mwingine Arsenal




Alex Oxlade-Chamberlain yupo mazungumzoni na Chelsea juu ya maslahi yake binafsi baada ya Arsenal kukubali kumuuza mshambuliaji huyo kwa wapinzani wao wa London.  Nyota huyo wa kimataifa wa England anategemewa kusaini mkataba wa miaka mitano Chelsea pindi atakapofuzu vipimo vya afya

* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment