Chama cha soka cha Algeria kimempa ruhusa ya kutoka kwenye kambi ya Timu ya Taifa star wao
Riyad Mahrez kwenda kujiunga na Timu yake mpya ambayo mpaka sasa bado imekua kitendawili ambacho hakina dakika nyingi kitatenguliwa mpaka sasa timu zinazomuwania kwa karibu ni Man united,Arsenal,As Roma na Barcelona
0 comments :
Post a Comment