Habari kutoka katika kambi ya Timu ya Taifa ya England zinasema kua mchezaji Alex Oxlade-Chamberlain amefanyiwa vipimo vya Afya tayari kabisa kwa dili la kujiunga na Liverpool jana usiku deal hilo la kushangaza linategemewa kukamilika muda wowote kuanzia sasa Chamberlain ameshangaza watu baada ya kukataa hela nyingi aliyowekewa na timu yake na kwenda kupokea mshahara mdogo pia anakwenda kwenye timu yenye ushindani mkubwa wa namba kuliko aliyokuwepo, Arsenal walimuwekea mkataba wa £180,000 kwa wiki
akaukataa lakini anaenda kulipwa mshahara kiduchu wa £120,000 kwa wiki
0 comments :
Post a Comment