News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday 18 July 2017

WENGER HANA MZAHA: HESABU DAKIKA NA MASAA MACHACHE KABLA BROZOVIC HAJAWA MSHIKA BUNDUKI RASMI!!


KIUNGO wa timu ya Inter Milan, Marcelo Brozovic ameingia kwenye rada za Arsene Wenger ambaye amepanga kukamilisha usajili huo wakati wowote kuanzia sasa. Wenger anataka kuboresha kikosi chake baada ya msimu uliopita kushindwa kupata nafasi ya kushiriki kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kocha huyo raia wa Ufaransa anaweza kufanikiwa katika mawindo yake baada ya Marcelo kuweka wazi msimamo wake wa kutaka changamoto mpya.
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment