News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday 2 July 2017

VITA YA KISASI LEO: MARA YA MWISHO KUKUTANA NAO SI WALITUPASUA 1-O TAIFA SASA LEO TUNAENDA KUWAPASUA HUKO HUKO KWAO SOUTH AFRICA

Image result for tanzania vs south africa football
Kuelekea Taifa Stars vs Afrika Kusini 2 July 2017.

Tukumbuke Kidogo Mechi ya Mwisho Timu hizi Kukutana, Mara ya Mwisho Tanzania,Taifa Stars  Kucheza na Afrika Kusini (South Afrika) almaarufu Bafana Bafana  Ilikuwa 14/5/2011 katika dimba la Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Tanzania.

Katika Mechi hiyo iliyokuwa ya Kirafiki Tu Taifa Stars Ililala kwa bao 1 kwa 0, Goli la WageniAfrika Kusini Lilifungwa dakika ya 44 na Mchezaji Siyabonga Sangweni 
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment