hatukua hewani leo kutokana na matatizo ya umeme maeneo ya ofice zetu tunaomba sana Radhi kwa hili halikua kusudio letu najua tumewakwaza sana wapenzi wasokani wa habari zetu pia wasikilizaji wa redio zetu tunahitaji sana ushirikiano wenu ili nasi tusonge mbele hata mbuyu ulianza kama mchicha kwa sasa hatuna Generator ndio maana tunanyanyasika na umeme wa Tanesco lakini soon kilakitu kitakaa sawa kama pia una Tangazo lako please Tangaza nasi una ujuzi wa kutangaza Hakika biashara yako utaona Tofauti wasiliana nasi kwa namba 0656 176261 unaweza kutuma msg kwenda namba 0684 666320 au unaweza kutuma Email kwenda godsonkiondo24@gmail.com
![](https://is05.ezphotoshare.com/2017/07/17/snRRYI.jpg)
![](https://is02.ezphotoshare.com/2017/07/23/sAYGYx.jpg)
0 comments :
Post a Comment