SHAFII DAUDA AKUBALI YAISHE!! AJIENGUA UCHAGUZI TFF AKIMUHUSISHA RUGE
Mgombea nafasi ya ujumbe wa shirikisho la soka nchini TFF amejiengua kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi kutokana na nafasi hiyo kumletea mgongano wa kimaslahi na Mwajiri wake.
Shaffih ametangaza uamuzi wake huo kupitia kipindi cha 360 cha Clouds TV, hata hivyo Shaffih amesema "Nimetumia muda mrefu kujenga brand yangu hakuna haja kuendelea kung'ang'ania. Suala la Rushwa ni kunichafua na mimi sitaki.
0 comments :
Post a Comment