Mchezaji Mtanzania Simon Msuva Anayecheza Klabu ya El Jadid huko Morocco ameanza kwa Kufunga Bao licha ya Kucheza kwa dakika 45 pekee za kipindi cha pili.
Msuva ndugu msomaji wa Kwata Unit Blog aliifungia Timu yake Goli katika Mchezo wa Kirafiki licha ya Timu yake Kufungwa bao 2 kwa 1, Akiingia wakati ambao Timu ilikuwa Ishafungwa bao 2-0 msuva aliupiga mwingi kama vile ameshacheza muda mrefu na wenzake na kwa mpira wa kasi sana Blog hii inamtakia mafanikio mema ili kuongeza wachezaji wanaofanya vizuri nje ili kuweza kuinua kiwango cha soka la Timu ya Taifa ambayo imekua haifanyi vizuri kwa kipindi kirefu sasa.
![](https://is05.ezphotoshare.com/2017/07/17/snRRYI.jpg)
![](https://is02.ezphotoshare.com/2017/07/23/sAYGYx.jpg)
0 comments :
Post a Comment