
linadaiwa kuwa ndiyo chanzo cha kutosaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo. Aliyekuwa kiungo wa Yanga, Deus Kaseke. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haji Manara ameweka picha ya Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali akiwa anakula, kisha akaandika hivi: “Mhenga aliyesema mtegemea cha ndugu hufa maskini, kweli yametimia, Kaseke kashindwa kuvumilia swaumu, inaitwa NDI NDI NDI.” Baada ya kuandika hivyo, Kaseka akawa tag Kaseke mwenyewe, Lady Dee, Mrisho Ngassa na Juma Kaseja.





0 comments :
Post a Comment