News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 27 July 2017

MAN CITY YAWAPASUA MIGUU YA MEZA REAL MADRID 4 -1 ANGALIA PICHA KIBAOOO ZA MECHI HIO


City youngster Brahim Diaz rounded off the victory for Pep Guardiola's side with a sweet left-footed strike from range
Kinda wa Manchester City, Brahim Diaz akiwa amezingirwa na wenzake kumpongeza baada ya kufunga bao la nne dakika ya 81 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya mabingwa wa Ulaya, Real Madrid Alfajiri ya leo Uwanja wa Los Angeles
Memorial Coliseum mjini Los Angeles, California, Marekani katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa. Mabao mengine ya timu ya kocha Pep Guardiola yamefungwa na Nicolas Otamendi dakika ya 52, Raheem Sterling dakika ya 59 na John Stones dakika ya 67, wakati la timu ya kocha Zinadine Zidane limefungwa na Oscar Rodriguez dakika ya 90
Nicolas Otamendi celebrates after sending Manchester City into the lead by converting from a rebound in the second-half

Raheem Sterling is clearly delighted after doubling City's advantage by firing the ball past goalkeeper Kiko Casilla

John Stones celebrates with City's new signing Kyle Walker after putting away the third goal of the night from a corner

Real Madrid midfielder Isco battles for the ball with City's veteran Ivorian Yaya Toure during Thursday morning's game
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment