News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday 19 July 2017

MAAMUZI MAGUMU: AUBAMEYANG HAUZWI KWA HELA YEYOTE


Pierre-Emerick Aubameyang hatauzwa na ataendelea kubakia Borussia Dortmund msimu huu, hii ni kwa mujibu wa ripoti kutoka Ujerumani. Aubameyang amekuwa akihusihwa na klabu kadhaa kwenye usajili wa kiangazi hiki, huku Chelsea ikitawala vichwa vya habari kwa siku za karibuni hususan baada ya kumkosa Lukaku kutoka Everton. Hata hivyo habari mpya ni kwamba mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Gabon ataendelea kuvaa jezi za mistari ya njano na nyesi za Borussia Dortmund kwa msimu wa 2017/18.
   SHARE HABARI ILI WATU WENGI WAIONE BONYEZA SHARE KWA FACEBOOK HAPO CHINI
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment