News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday 12 July 2017

JAMES KOTEI AZIMA NDOTO ZA YANGA KWA KUJIFUNGA SIMBA MIAKA MIWILI





KIUNGO wa kimataifa wa Ghana,James Agyekum Kotei ameongeza kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuwachezea mabingwa wa kombe la FA nchini Tanzania,Simba SC.

Kotei mwenye umri wa miaka 24 ameingia kandarasi hiyo mpya leo mchana mara baada ya ile ya awali ya miezi sita kufikia tamati.

Kiungo huyo mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi uwanjani alijiunga na Simba SC mwezi Januari mwaka huu akitokea klabu ya Al Oruba SC ya nchini Omani.
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment