Hans Poppe amewataja Golikipa Dennis na Manyika Kuwa wako katika Mipango ya kuwatafutia Timu ili kuzidi Kuboresha Viwango vyao na Kupata Nafasi zaidi Ya Kucheza.
Wengine ambao wametemwa na Simba ndugu msomaji wa TANZANIA HOT NEWS ni Hamad Juma na Beki Mkongoman Janvier Bukungu, Wengine Ni Lufunga na Abdi Banda ambaye ameelekea Kucheza Soka la Kulipwa Huko nchini Afrika Kusini.
Hans Poppe amekiri pia licha ya Kuwa wamefanya mazungumzo na Kipa Manula pamoja na Kiungo wa Yanga msimu Uliopita Haruna Niyonzima amesema Bado hawajafikia Makubaliano ya Mwisho
SHARE HABARI ILI WATU WENGI WAIONE BONYEZA SHARE KWA FACEBOOK HAPO CHINI
0 comments :
Post a Comment