News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday, 7 January 2017

PICHA 20:MESSI,NEYMAR,SUAREZ NA BARCA YAO YAPIGWA NA WATU 9 WAWILI WA BILBAO WAKILA UMEME

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akipasua katikati ya mabeki wa Athletic Bilbao katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa San Mames. Bilbao ilishinda 2-1,
mabao yake yakifungwa na Aritz Aduriz dakika ya 25 na Inaki Williams dakika ya 28 huku la Barca likifungwa na Messi dakika ya 52




























Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment