News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday, 7 January 2017

PICHA 15: WEST HAM WAPIGWA TAIRI ZA HIACE NA SPEA YAKE 5-0 NA MAN CITY FA

Wachezaji wa Manchester City wakishangilia bao lao la nne katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji West Ham United usiku wa jana kwenye mchezo wa Kombe la FA Raundi ya Tatu Uwanja wa London. Mabao ya City yalifungwa na Yaya Toure
dakika ya 33 kwa penalti, Havard Nordtveit aliyejifunga dakika ya 41, David Silva dakika ya 43, Sergio Aguero dakika ya 50 na John Stones dakika ya 84











The former Everton and Barnsley defender, who joined City for £47m in the summer, celebrates his first goal for the club









Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment