NYOTA kibao wa soka walifurika mjini Zurich kuelekea kwenye tuzo za The Best FIFA Football Awards ambazo Cristiano Ronaldo alitangazwa mwanasoka bora. Wanasoka bora wa kisasa
wanafahamika kwa kujali mitindo ya mavazi na baadhi yao walitinga na wake ama rafiki zao wa kike na kupita nao katika zulia la kijani. Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo alijitokeza hadharani

0 comments :
Post a Comment