News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday, 14 January 2017

AZAM FC MABINGWA WAPYA KOMBE LA MAPINDUZI!! WACHUKUA KOMBE BILA KUFUNGWA HATA GOLI MOJA!!




Azam FC imefunga Simba kwa bao 1-0 katika mechi ya fainali ya Kombe la Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

Kwa Ushindi huo, Azam FC wanakuwa mabingwa Mapinduzi 2017 lakini wanaweka rekodi ya kubeba kombe hilo bila ya kupoteza mchezo wala kufungwa hata bao moja.


Azam FC imeishinda Simba katika mchezo safi na kufanikiwa kubeba kombe hilo mara tatu sawa na Simba ambayo pia imewahi kulibeba mara Simba huku mabingwa wengine kama Yanga na Mtibwa Sugar wakiwa wamewahi kulibeba kombe hilo mara moja tu.
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment