News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday, 13 January 2018

MAN CITY MAJI SHINGONI KWA SANCHEZ YAPANGA KUJITOA KWENYE KINYANGANYIRO:MOURINHO MENO NJE!!





Manchester City inajiandaa kuachana na mpango wa kumsajili Alexis Sanches, hatua itakayowapa mwanya wapinzani wao wakubwa Manchester United kumnyakuwa mshambuliaji huyo wa Arsenal.
City ilikuwa inaongoza mbio za kumsajili Sanchez kabla Manchester United haijatia mguu na ofa nono.
Daily Star la Uingereza linaandika kuwa matajiri wa Etihad hawako tayari kuifikia dau la Manchester United na wako radhi mchezaji huyo aende Old Trafford.
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola bado ana matumaini ya kumnasa Sanchez akiamini kuwa nyota huyo anataka kucheza chini yake na sio Mourinho
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment