News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday, 12 January 2018

IBRAHIOVIC HUENDA AKAONDOKA MANCHESTER UNITED MWEZI MACHI ...achoka kusugulishwa benchi na Lukaku



Manchester United inaripotiwa kusaka mrithi wa Zlatan Ibrahimovic — kwasababu inaamini mshambuliaji huyo huenda akaondoka kabla ya msimu huu haujafika ukingoni.
Mkataba wa mshambuliaji huyo raia wa Sweden unaisha mwishoni mwa msimu lakini amejikuta akiangukia kuwa chaguo la pili nyuma ya Romelu Lukaku aliyesajiliwa kwa pauni milioni 75.
Yahoo Sports inaripoti kuwa Ibrahimovic anaweza akahamia Marekani au China mwezi Machi ambao ndiyo mwanzo wa msimu wa ligi hizo mbili - MLS na Chinese Super League
 

USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment