
Mchezaji Jack Wilshere ambae aliumia kwenye mechi dhidi ya Chelsea jumatano wiki hii katika mechi ya kombe la Carabao cup,Habari rasmi kutoka katika kikosi cha Arsenal zinasema mchezaji huyo atakua fiti wiki end hii kukipiga dhidi ya Bournemouth hio itategemea kama kocha ataamua kumpanga ama la lakini habari rasmi ni kua Wilshere yuko fiti na katika ukurasa wake wa Instagram amewashukuru mashabiki wote waliomuombea apone haraka na kuwahakikishia atarudi uwanjani muda mfupi ujao


0 comments :
Post a Comment