Usajili uliokua wa vuta nikuvute baina ya mchezaji Ale Sanchez ambae alikua anatimkia Man united akitokea Arsenal na Mkhitaryan aliyekua akitokea Man united kwenda Arsenal umekamilika habari za uhakika zinasema "Mkhi" atafanyiwa vipimo vya afya usiku huu!! kwa habari zaidi endelea kutufuatilia tutakueleza kila kinachotokea