Mchezaji Alex Sanhez ambae amekua kipusa kwenye dirisha la usajili kipindi hiki imedhihirika kua kwa sasa siku za kuwa Arsenal zimekwisha na mchezaji huyo hakufanya mazoezi na wenzake jana na hatakuwepo katika kikosi cha mechi ya leo dhidi ya Bournemouth kwa ajili ya kujiandaa na kuondoka bado haijajulikana ni timu ipi hasa Arsenal watamuuza baada ya Man united kuonyesha kua wamedhamiria kiukweli kumchukua mchezaji huyo na kumlipa mshahara utakaovunja rekodi wa paund 350 kwa wiki kaa nasi muda wowote dili hili ltakapotk tutakua wa kwanza kukujulisha hii habari mpenzi msomaji wa mwanasportsleo blog